Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na wenzao wa Shirika la Balsam Care & Care la nchini Saudi Arabia wakimfanyia mgonjwa upasuaji wa kuzibua mishipa ya moyo bila kufungua kifua


Daktari wa Magonjwa ya Moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na wenzao wa Shirika la Balsam Care & Care  la nchini Saudi Arabia wakimfanyia mgonjwa upasuaji wa kuzibua mishipa ya moyo bila kufungua kifua kwa kutumia mtambo wa Cathlab kwa njia ya kutoboa tundu dogo katika  paja katika kambi maalum ya matibabu inayofanyika kwenye Taasisi hiyo. Jumla ya wagonjwa 26 wamefanyiwa upasuaji huo na hali zao zinaendelea vizuri.


Madaktari bingwa wa Upasuaji wa Moyo na mishipa ya damu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na wenzao wa Shirika la Balsam Care & Care  la nchini Saudi Arabia wakimfanyia mgonjwa upasuaji wa kupandikiza mishipa ya damu kwenye moyo (CABG – Coronary Artery Bypass Grafting) katika  kambi maalum ya matibabu inayoendelea katika Taasisi hiyo.  Jumla ya wagonjwa 10 wamefanyiwa upasuaji wa kufungua kifua na hali zao zinaendela vizuri.


Comments

Popular posts from this blog

JKCI yawafanyia upasuaji wa Moyo wagonjwa 36 bila kufungua kifua

Balozi wa Uholanzi nchini Mhe. Jeroen Verheul aipongeza Taasisi ya Moyo Nchini

JKCI Kutambulika Kimataifa kwa Kazi Bora za Upasuaji wa Moyo

Katika kuadhimisha siku ya moyo Duniani tarehe 29/09/2018 Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na Chama cha Madaktari wa Moyo Tanzania (THF) wafanya upimaji na utoaji wa elimu ya afya ya moyo bila malipo katika viwanja vya Hospitali ya Vijibweni iliyopo wilaya ya Kigamboni.